Smart Brains

Spread the love
Be Proud to Read The Swahili Novels By Marcus. M. Kasuni…

Zindua uwezo wako kwa kusoma hivi vitabu. .. Ni noveli zilizoadikwa kwa njia sahihi zikiwa zimezigatia takribani njia zote za uandishi wa tamthiliya na Riwaya za Kiswahili. Zinafugua Bongo kwa Wasomaji haswa Wanafunzi na kuwapa mwelekeo bora kuchanganua vitabu vya utahiniwa. Usiachwe nyuma, jikuze


Utangulizi:


(Kovu za Penzi) kama kichwa mwafaka kilichopewa riwaya yenyewe na mwandisi Marcus M. Kasuni, Yagusia kwa kina na mapana chanzo cha mvumo na mzoroto wa tumaini za uhondo wa penzi haswa kikizigatia maudhui kadha kama desturi ya vitabu vinginevyo vya tamthilia na Riwaya. Kwa nia njema ya mwandishi kukenua upovu wa wanafunzi wengi kwa kuzingatia baadhi ya binu za uandishi, ametilia kama nyongeza kupovua upovu wao. Hivyo kwa nakshi bora ya uangazo wa maisha chapanua kingo za liwazo za wanafunzi ikiwa kweli watatilia maanani kutosoma tu, mbali kunakili ndani kwa undani maana ya kila neno na tukio la visa vyake.

Kovu Za Penzi

Isiwe chafaidi wakufunzi na wanafunzi tu. Watamaniao dawa kwa mwongozo wa masafa ya aushi wao, iwe waliobobea, wenye katika ndoa na wachumba. Ngoja, isiwe umeachwa nyuma mwenye kuhitajia kushikilia ng’ata uzuri wa ndoa yako, Mwamko bora umo ndani umetiliwa maanani pia.

Soma na Kuelewa, Jikuze, Jifaidi na ufaidi Wengine. Elimu kwa Wote, Kufaulu kwa wenye mzingatio mwema. Nipo nawe, Kutwa Kucha, kwa Nuru na Giza, Kwa Ubobezi na Ualmaarufu, Utawala Mwema na Uliozorota, Marefu na Mafupi. Tuungane kwa pamoja, Kidole moja……? Tusiwe Tumbo Lisiloshiba, Tutiane nguvu, ulimbwende kando. Shukurani kwa safari yako Njema na Uongozo mwema wa Liwazo Zako. Karibu…. Marcus Kasuni


Maudhui Kazingatiwa.: 

  • Chanzo Cha Uzorota wa Familia... Marriage Break-Ups
  • Changamoto zinazokumba Elimu... Educational Challenges
  • Mapenzi...Love:: Agape Love, Parental Love,Family Love,
  • Mwanzo na Hitama ya Upendo Povu.… Start and End of Fake Love
  • Hadhari za Utumizi mbaya wa Mamlaka…. Negated Use of Power
  • Chanzo za Ugomvi Nyumba….. The Start of Family Chaos.
  • Utumiza Mbaya wa Pombe….. Effects of Alcohol
  • Sumu ya Utawala Mbaya.…..Family Poison….etc…. Na mengineyo Mengi

KOVU ZA PENZI……. Mwanzo

Udhalimu aliopata kwenye kingo za moyo wake ulimwotesha na kumsitisha uroda na sumu za pozi za mahaba! Rambirambi zilizomdakia tosini na fuadini mwake zilimsonga na kumsitisha bado angali mwenye mbwembwe na ushujaa mighairi majisifu! Malaika waliomnasa ndani mwa bongo zake walimtawala na kumzika kwenye udongo uliokuza na kunawiri hurulaini za shenghesha! Nayo mbiu ya mngámbo ikilia kuna jambo! Malaika waliomiliki anga za boni zake walijawa na ulimbwende na ustadi wa uchochezi na waliotesha mwasho ndani kwa ndani mwa bongo zake. Ndiyo, Malaika wa kutanisha na kutania pasipohitajia utani. Kukuza hofu za moyo panapohitajia shangwe na nderemo! Haswa Malaika ovyo wenye kutania pasipohitajia utani.

Basi anga aliyoangazia kwa viboni vyake ilijawa na uamaridadi na kutunza unyonye haswa! Tamaa ya Shengesha ndiyo damu iliyompitia kwenye mishipa yake. Ndiyo, Damu yenye ulaini wa joto la kiwango cha kati. Ndiyo, Joto lililovutia haswa kwa kuhisia hali yake kwa yeyote aliyeipasha kwenye viganja vyake. Joto, lenye tamaa na tamauko za upofu wa pupa za kuzidi kutumainia kuhisia hali yake haswa! …


CONTENT IS RESTRICTED TO MEMBERS ONLY. (HOW TO ACCESS THE WHOLE CONTENT..)

KOVU ZA PENZI —PART 1

Hapakuwa mazugumzo wala mawaidha. Kulitulia tuli na haswa Nyoyo tu ndizo ziliskika zapiga kwa bugdha na mtarafuko. Kwa kuhema na mipigo holela, kwa kasi na hasira, moyo zililalamika kweli huku bongo zikijawa na mridimo wa mawazo.

Ilikuwa ni pata potea. Mawaidha kadha wa kadha yawalimbikiza ndani kwa ndani moyoni mwao. Maisha yalikuwa yawaelekeza kwa kingo tofauti tofauti. Vivutio walivyohitajia kuvuta chozi zao kwa mara nyingine vilikosa kabisa kuwajibika. Na dunia ilikuwa yawatia hofu. Kila mmosi kwa taabu zake. Ipo wapi tibu ya donda zao.

SOMA Kitabu Hapa: Bovya Hapa 

Ama ubonyeze Picha Hili>>

DISCLAIMER

Hello my beloved Content Readers? Am pleased to write to you in case you have no Business and Credit Cards or You Encounter Difficulties in Registration, We find it worth that You Should access Book Contents ( Mizonga Iliyohai, Kovu Za Penzi etc) Via Manual Registration Where our System Admin will  Add you manually in the system and there after you will be in a position to Access the content. Brainstorm Your Mind and Capture the Authors Concept.

Below are the Steps included. Read Here

MIZONGA ILIYOHAI —PART 2

“Nipe! Nipe!Nipe! Haki, nataka haki. Haki yangu ndiyo uhuru unaonielekeza. Basi nipe.  Unipe maadamu yafaa. Ndiyo, yanifaa mimi niskizwe. Nibuniwe, nifikiriwe kisha uhuru wa haki nipishwe! Siyo, kesho. La haula! Sasa hivi. Hivi sasa. Staki tena huu uhahirisho wa mambo. Basi na nipe.”

“Kama afueni ya ndoto, aushi ya mamake ilikuwa yamtembea juu kwa juu kwa bongo zake. Yote mazuri kwa maovu, mema kwa mabaya, manene kwa madogo, yakupishwa na ya kudakia yalikuwa yampigapiga kwenye kingo za chungu kilichomiliki bongo zake. Kisha  yakawa manene manene kama yamfanyia utani. Sauti zikabadilika matendo kwenye upeo wa macho yake.

BELUWA:  (kwa Bwanake BASU) Hali ilivyo mimi naona maabara ya shida kwenye          boni.

BASU       : Mhh! Usiwe mtu wa kupoteza matumaini ovyo.

BELUWA : Unayosema ni kweli. Yananitia moyo. Lakini pia lolote lina ncha lake.

BASU       : Hivi wanena kumanisha yepi. Magani mapya yametukia siyojua?

BELUWA  : Hakuna mapya. Yale madogodogo ninayokesha kukujuza ndiyo mapya.

: Juzi nilikujuza kuwa hali yangu ni mbovu. Najihisi mny’onge. Mdhoofu asiyejiweza. Uliona kama nakufanyia utani. Lakini wacha kusahaulia usipoyatatua yangali mabichi, mabivu yatakuwahi!