Kovu Za Penzi –Level 1

Hapakuwa mazugumzo wala mawaidha. Kulitulia tuli na haswa Nyoyo tu ndizo ziliskika zapiga kwa bugdha na mtarafuko. Kwa kuhema na mipigo holela, kwa kasi na hasira, moyo zililalamika kweli huku bongo zikijawa na mridimo wa mawazo. Ilikuwa ni pata potea. Mawaidha kadha wa kadha yawalimbikiza ndani kwa ndani moyoni mwao. Maisha yalikuwa yawaelekeza kwa kingo tofauti tofauti. Vivutio walivyohitajia kuvuta chozi zao kwa mara nyingine vilikosa kabisa kuwajibika. Na dunia ilikuwa yawatia hofu. Kila mmosi kwa taabu zake. Ipo wapi tibu ya donda zao. KOVU ZA PENZI. part 1 Udhalimu…...