Mizonga Iliyohai—-Part 2

Spread the love
“Nipe! Nipe!Nipe! Haki, nataka haki. Haki yangu ndiyo uhuru unaonielekeza. Basi nipe.  Unipe maadamu yafaa. Ndiyo, yanifaa mimi niskizwe. Nibuniwe, nifikiriwe kisha uhuru wa haki nipishwe! Siyo, kesho. La haula! Sasa hivi. Hivi sasa. Staki tena huu uhahirisho wa mambo. Basi na nipe.” “Kama afueni ya ndoto, aushi ya mamake ilikuwa yamtembea juu kwa juu kwa bongo zake. Yote mazuri kwa maovu, mema kwa mabaya, manene kwa madogo, yakupishwa na ya kudakia yalikuwa yampigapiga kwenye kingo za chungu kilichomiliki bongo zake. Kisha  yakawa manene manene kama yamfanyia utani. Sauti zikabadilika…...

This content is for Bronze members only.
RegisterLog In
Already a member? Log in here

Related posts